MAJINA YA ASKARI WALIOUWAWA KONGO
Haya ni majina ya wanajeshi 14 wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi
Tanzania (JWTZ), waliouawa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
(DRC), wakati wakilinda amani.
Wanajeshi hayo ni;
1.
Hamad Haji
Bakari,
2.
Chazil Khatibu
Nandonde,
3.
Idd Abdallah
Ally,
4.
Juma Mossi
Ally,
5.
Ally Haji
Ussi,
6.
Pascal Singo,
7.
Samwel Chenga,
8.
Deogratius
Kamili,
9.
Mwichumu Vuai
Mohamed,
10.
Hassan Makame,
11.
Issa Mussa Juma,
12.
Hamad Mzee
Kamna,
13.
Salehe Mahembano
na
14.
Nazoro Haji Bakari.
Tayari miili ya marehemu hao imeshaagwa katika viwanja vya
ulinzi vilivyopo makao ya jeshi yaliyopo Upanga jijini Dar es Salaam na Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na viongozi wa Serikali wengine waliongoza
Watanzania kutoa heshima za mwisho kwa askari hao.
Askari hao 14 walifariki dunia katika mapigano na waasi wa
kikundi cha ADF nchini DRC, huku 44 wakijeruhiwa na mmoja akipotea baada ya
kambi yao kuvamiwa eneo la Mashariki mwa nchi Desemba 7 wakati wakitekeleza
majukumu ya ulinzi wa amani.

Post a Comment