Tetesi za soka Ulaya Jumatatu 20.11.2017
Manchester City itashindana na
Liverpool kumununua beki wa Southampton na Uholanzi Virgil van Dijk, 26,
katika dirisha la uhamisho la Januari.{Daily Mirror}.
City pia
inataka kumsajili kiungo wa kati wa Schalke na Ujerumani Leon Goretzka
ambaye kandarasi yake inakamilika mwishoni mwa msimu huu na amewavutia
Arsenal, Liverpool na Chelsea (Daily Mirror)Mshambuliaji wa Uingereza na Tottenham Harry Kane, 24, anasema kuwa anapanga kuichezea Tottenham kwa kipindi chote cha mchezo wake kilichosalia (London Evening Standard)

Post a Comment