TAMBIKO ZITO KWA CHEKA AKIJIANDAA KUVAANA NA MFILIPINO


  

Mzee Mohammed Kidume Akimsimika Ubalozi wa Mikindani Bondia Francis Cheka katikati kwa lengo la Kutangaza historia ya Majengo ya Majengo ya Kale ambayo yalitumiwa na Wakoloni.
Bondia wa Kimataifa Francis Cheka anatarajia kupigana na Bondia Arney Tinampay Kutoka Nchini Ufilipino katika Pambano la raundi 10 litakalofanyika katika Uwanja wa Umoja nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara mwanzoni mwa mwezi wa Nne.

Kwa mara ya Kwanza Bondia Franciss Cheka anapigana Mchezo wa Kimataifa wa Kutetea Ubingwa wa Mkanda wa UBO wa kilogram76 katika Mkoa wa Mtwara,ambapo tayari ameanza Kufanya maandalizi ya Mazoezi tayari kwa Pambano hilo.
AKiongea na waandishi wa habari Promota Jay Msangi anasema Bondia Kutoa Ufilipino anatoka katika Historia ya mabondia wakubwa.

“Bondia huyu anahistoria anatokea katika kambi ya Man Pacquiao na anayemfundisha  aliwah pia kumfundisha Pacquiao na ni Bondia mwenye kushika daraja la pili katika Nchi ya Ufilipino kenye uzito wa Kilogram 76 na hivyo unaweza kuona kwa Francis Cheka anakutana na Bondia Mwenye uwezo mkubwa”alisema Promota Jay Msangi
Naye Fransis Cheka anasema anajiamini licha ya kuwa hamfahamu Bondia huyo Kutoka Ufilipino lakini uwezo wake ni mkubwa kupigana na bondia yeyote wa kiwango chake.

“Sifaham Uwezo wa Mfilipino lakini najifaham uwezo wangu kwa sababunimeshakuwa Bingwa wa Dunia na hivyo nawahakikishia Watanzania hususani wakazi wa mkoa wa Mtwara nitafanya vizuri,Simfahamu huyo Bondia lakini nitakapokutana naye Ulingoni tutafahamiana Hapo Hapo”Alisema ChekaCheka

Wakati huo huo Bondia Francis Cheka amekabidhia Ubalozi wa Kuitangaza Eneo la Mikindani ambalo linamajengo ya Kihistoria.
Source.supersport-triple a fm 23.02.2018

1 comment:

  1. Nilisoma baadhi ya shuhuda kuhusu mtangazaji wa mapenzi anayeitwa DR DAWN kuhusu jinsi ambavyo amesaidia watu wengi kuwarudisha wapenzi wao wa zamani ndani ya masaa 48, kwa dhati nilikuwa nikifikiria kama hiyo ni kweli na ikiwa mwanaume huyu angeweza kusaidia kumrudisha mpenzi wangu ambaye Napenda sana. Niliamua kuwasiliana naye kwa sababu nampenda sana mpenzi wangu na tumetengana kwa miezi kadhaa. Kwa kweli nilimkumbuka sana, nimejaribu njia zingine zote kumrudisha lakini sikuweza. Niliwasiliana na DR DAWN na akaniambia kuwa ex wangu atanirudia baada ya saa 48 zijazo,
    Kwa mshangao wangu Ex boyfriend wangu alirudi saa 48 haswa, shukrani kwa Dr DAWN,
    Anaweza pia kukusaidia
    *Tahajia ili kupata mimba.
    *Tahajia ili kuungana tena.
    *Tibu ugonjwa wowote.
    *tahajia kwa bahati nzuri.
    *Tahajia kwa ajili ya mali.
    Na wengine.
    Wasiliana naye kupitia: dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp: +2349046229159

    ReplyDelete

Powered by Blogger.