TAMBIKO ZITO KWA CHEKA AKIJIANDAA KUVAANA NA MFILIPINO
Mzee Mohammed Kidume
Akimsimika Ubalozi wa Mikindani Bondia Francis Cheka katikati kwa lengo la
Kutangaza historia ya Majengo ya Majengo ya Kale ambayo yalitumiwa na Wakoloni.
Bondia wa
Kimataifa Francis Cheka anatarajia kupigana na Bondia Arney Tinampay
Kutoka Nchini Ufilipino katika Pambano la raundi 10 litakalofanyika
katika Uwanja wa Umoja nangwanda Sijaona Mkoani Mtwara mwanzoni mwa
mwezi wa Nne.
Kwa mara ya
Kwanza Bondia Franciss Cheka anapigana Mchezo wa Kimataifa wa Kutetea
Ubingwa wa Mkanda wa UBO wa kilogram76 katika Mkoa wa Mtwara,ambapo
tayari ameanza Kufanya maandalizi ya Mazoezi tayari kwa Pambano hilo.
AKiongea na waandishi wa habari Promota Jay Msangi anasema Bondia Kutoa Ufilipino anatoka katika Historia ya mabondia wakubwa.
“Bondia huyu
anahistoria anatokea katika kambi ya Man Pacquiao na anayemfundisha
aliwah pia kumfundisha Pacquiao na ni Bondia mwenye kushika daraja la
pili katika Nchi ya Ufilipino kenye uzito wa Kilogram 76 na hivyo
unaweza kuona kwa Francis Cheka anakutana na Bondia Mwenye uwezo
mkubwa”alisema Promota Jay Msangi
Naye Fransis
Cheka anasema anajiamini licha ya kuwa hamfahamu Bondia huyo Kutoka
Ufilipino lakini uwezo wake ni mkubwa kupigana na bondia yeyote wa
kiwango chake.
“Sifaham
Uwezo wa Mfilipino lakini najifaham uwezo wangu kwa sababunimeshakuwa
Bingwa wa Dunia na hivyo nawahakikishia Watanzania hususani wakazi wa
mkoa wa Mtwara nitafanya vizuri,Simfahamu huyo Bondia lakini
nitakapokutana naye Ulingoni tutafahamiana Hapo Hapo”Alisema ChekaCheka
Wakati huo huo Bondia Francis Cheka amekabidhia Ubalozi wa Kuitangaza Eneo la Mikindani ambalo linamajengo ya Kihistoria.
Source.supersport-triple a fm 23.02.2018


Nilisoma baadhi ya shuhuda kuhusu mtangazaji wa mapenzi anayeitwa DR DAWN kuhusu jinsi ambavyo amesaidia watu wengi kuwarudisha wapenzi wao wa zamani ndani ya masaa 48, kwa dhati nilikuwa nikifikiria kama hiyo ni kweli na ikiwa mwanaume huyu angeweza kusaidia kumrudisha mpenzi wangu ambaye Napenda sana. Niliamua kuwasiliana naye kwa sababu nampenda sana mpenzi wangu na tumetengana kwa miezi kadhaa. Kwa kweli nilimkumbuka sana, nimejaribu njia zingine zote kumrudisha lakini sikuweza. Niliwasiliana na DR DAWN na akaniambia kuwa ex wangu atanirudia baada ya saa 48 zijazo,
ReplyDeleteKwa mshangao wangu Ex boyfriend wangu alirudi saa 48 haswa, shukrani kwa Dr DAWN,
Anaweza pia kukusaidia
*Tahajia ili kupata mimba.
*Tahajia ili kuungana tena.
*Tibu ugonjwa wowote.
*tahajia kwa bahati nzuri.
*Tahajia kwa ajili ya mali.
Na wengine.
Wasiliana naye kupitia: dawnacuna314@gmail.com
Whatsapp: +2349046229159