Sherehe ya kuwaaga wanajeshi wa Tanzania waliouawa DRC yafanyika.

Sherehe za kuwaaga wanajeshi waliouawa DRC
Sherehe ya kuwaaga wanajeshi 14 wa Tanzania waliokuwa walinda amani wa Umoja wa Mataifa waliouawa nchini Jamhuri ya Demokrasia ya Congo zimefanyika jiji Dar es Salaam.

Wanajeshi hao waliuawa baada ya kupigana na waasi kwa muda wa saa 13 kufuatia waasi hao kuishambulia kambi yao.

Sherehe za kuwaaga wanajeshi wa TZ waliouawa DRC zafanyika
Sherehe hizo zimefanyika kwenye makao makuu ya jeshi la ulinzi na usalama Tanzania "gnome" upanga jijini Dar es Salaam

Mkuu wa ulinzi wa amani wa Umoja wa mataifa Jean Piare Lacroix, alihudhuria sherehe hizo. Familia za wanajeshi hao nazo zilikuwepo na zimeungana na wapendwa wao kuelekea mikoani.

No comments

Powered by Blogger.