Madee afunguka Tip Top kucopy wimbo ‘Nanii’ na alivyomnasa Dkt Shika
Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection Madee Ali amefunguka kunanusha taarifa zilizozagaa katika mitandao ya kijamii kwamba msanii wake mpya wa Tip Top, Gaza ameiba wazo la wimbo’Nanii’ katika wimbo wa SSK, uitwao ‘Nanii’. Rais huyo wa Manzese amedai kwamba hata wimbo huyo wa kundi la SSK haufahamu.

Post a Comment