Picha,Mcheza Tennis Serena Williams amefunga ndoa na mchumba wake Alexis Ohanian,


Hizi Picha kutoka kwenye harusi ya Mcheza Tennis Serena Williams ambaye amefunga ndoa na mchumba wake Alexis Ohanian,
Serena Williams na Alexis Ohanian tayari wanamtoto mmoja ‘Alexis Jr’ na kwenye harusi yao walihudhuria mastaa wakubwa duniani kama Kelly Rowland, Ciara, Eva Longoria,  Beyonce, Kim Kardashian,
Wasanii waliofanya show kwenye harusi hii ni pamoja na Cynthia Erivo na kundi la New Edition




No comments

Powered by Blogger.